Posted on: October 3rd, 2020
Wazazi na walenzi wametakiwa kuhakikisha wanasimamia Sera na Miongozo ya ulinzi wa watoto ili kujenga kizazi kinachojiamini na kujitambua katika ujenzi wa Taifa letu.
Ameyasema hayo Mkuu wa Mkoa wa...
Posted on: October 1st, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta, amesema atasimamia uundwaji wa mabaraza ya wazee katika wilaya za Mkoa wa Arusha ambazo bado hazijaunda.
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wazee ka...
Posted on: September 29th, 2020
Waandishi wa habari wa Redio jamii wametakiwa kutumia taaluma yao katika kujenga nchi ambayo imejengwa kwa muda mrefu ikiwa na umoja, amani na mshikamano.
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha I...