Posted on: November 19th, 2018
Mazingira wezeshi kwa watumishi wa umma ndio yatakuwa kichocheo cha wao kufanya kazi kwa bidii na kwa weredi wa hali ya juu, hali hii itasaidia pia kuboresha huduma zitolewazo.
Haya yamesemwa...
Posted on: November 14th, 2018
Waziri ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa mheshimiwa Selemani Jafo amezitaka wilaya zote nchini kuanza mara moja ujenzi wa hospitali za wilaya.
Ameyasema hayo alipotembelea hospital...
Posted on: November 14th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameziagiza halmashauri zote za mkoa huu kutenga kiasi cha shilingi 1000 kwa kila mtoto katika halmashauri kutoka katika mapato ya ndani ilikusaidia katika mfuko wa Lishe wa halm...