Posted on: November 11th, 2021
Karibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amewataka maafisa TEHEMA kuendelea kutumia mashine za kukusanya mapato(POS) katika maeneo yao.
Ameyasema hayo alipokuwa akifungua mafunzo ya ma...
Posted on: November 10th, 2021
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Umoja wa Afrika na sekta binafsi kuongeza juhudi katika ku...
Posted on: November 10th, 2021
Jamii ya Watanzania imetakiwa kubadili Mtindo wa maisha usiofaa ili kujenga Afya bora na kuleta tija kwa Taifa letu.
Yamesemwa hayo na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha bwana Hargeney Chitukulo al...