Posted on: October 29th, 2021
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu wametakiwa kufanya kazi kwa juhudi huku wakizingatia utoaji huduma kwa weredi,ushirikiano na utunzaji wa Siri.
Yamesemwa hayo na Katibu Tawala Mkoa wa A...
Posted on: October 28th, 2021
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Karatu bwana Rajabu Kalia kuhakikisha wanaweka miundombinu ya TEHAMA ya ukusanyaji mapato kati...
Posted on: October 22nd, 2021
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa amewataka wataalamu wa TEHEMA kubuni mbinu mbalimbali za kukuza uchumi wa nchi.
Ameyasema hayo alipokuwa akifungua kikao cha 5 cha...