Posted on: November 7th, 2021
RC Mongella ametoa wiki mbili za kuhakikisha zoezi la usanifu wa mabwawa 2 ya Maji Monduli Juu unakamilika.
Ameyasema hayo alipokuwa akikagua mradi wa Maji Wilayani Monduli, ambapo m...
Posted on: November 6th, 2021
"Takwimu za mwaka 2016 zinaonesha magonjwa yasiyoambukiza yanachangia vifo vya watu zaidi ya Milioni 41 sawa na 71% ya vifo vyote, nchini".
Kauli hiyo imesemwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa n...
Posted on: October 30th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella ametangaza rasmi zoezi la kuanza kuwahamisha machinga kuanza Novemba 1,2021 hadi Novemba 3,2021 Jijini Arusha.
Ameyasema hayo alipokuwa akikagua ujenzi wa m...