Posted on: October 28th, 2024
Na Elinipa Lupembe.
Jumla ya watahiniwa 39,075 mkoa wa Arusha wanatarajika kufanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2024, unaotarajia kuanza nchini leo tarehe 28 Oktoba, 2024, kwa mujibu wa ratib...
Posted on: October 27th, 2024
Serikali imekabidhi magari 88 kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU), magari ambayo yatasambazwa mikoa yote Tanzania, kwa lengo la kuongeza tija na kuboresha utendaji kazi wa T...
Posted on: October 26th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani Arusha kwaajili ya...