Posted on: October 14th, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwasili Mkoani Arusha siku ya Jumamosi na atapokelewa na uongozi wa Mkoa.
Mhe. Rais akiwa Mkoani Arusha atafanya ziara ya...
Posted on: October 14th, 2021
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amezitaka taasisi za Serikali Mkoani Arusha kufanya kazi kwa umoja na mshikamano ili Arusha iweze kusonga mbele.
Ameyasema hayo alipokuwa akizu...
Posted on: September 27th, 2021
Katibu Tawala Msaidizi mipango bwana Said Mabie amefurahishwa na asasi zisizo za Serikali zinavyojikita katika utoaji elimu juu ya mikopo ya asilimia 10 inatolewa na Serikali.
Amesema hayo alipokuw...