Posted on: November 18th, 2020
Wanunuaji wa Saruji Mkoa wa Arusha wametakiwa kudai risiti pindi wanapouziwa, ili kurahisisha ufuatiliaji kwa wafanyabiashara wanaouza Saruji kwa bei ya juu.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa...
Posted on: November 17th, 2020
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega amewataka vijana kusubiri kuajiriwa.
Ameyasema hayo alipokuwa akizindua mpango wa udhamini wa masomo kwa vijana kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ...
Posted on: October 27th, 2020
Utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani Tanga.
Utiaji huo wa saini umefanyika jijini Arusha....