Posted on: June 8th, 2022
Uongozi wa Halmashauri ya Arusha umepongezwa kwa kupata hati safi kupitia taarifa ya Mkaguzi na Mthibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa miaka mitano mfululizo.
Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Taw...
Posted on: June 7th, 2022
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa shule ya Sekondari Embaseri Wilayani Arumeru inayojengea kwa fedha za TASAF.
Amesema mpango wa kunus...
Posted on: June 6th, 2022
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, amewataka wasimamizi wa mizani inayosomamiwa na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kutenda haki kwa wasafirishaji hasa wanapokutwa na makosa ya ku...