Posted on: July 19th, 2021
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amefanya kikao kazi na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kuwataka wakafanye kazi kwa ushirikiano, bidii na weredi ili kuleta tija katika Mkoa....
Posted on: July 17th, 2021
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amewataka wamiliki wote wa vituo vya kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu wanapata leseni za kutolea huduma hiyo ifikapo Desemba 2021....
Posted on: July 15th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewashauri viongozi wa madhehebu ya Kikristo kuwahimiza waumini wao kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo.
Ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kong...