Posted on: November 23rd, 2022
" Nakuagiza Waziri wa Maji ndani ya miezi 3 yani kufikia mwezi Machi 2023 mradi wa bilioni 1.7 wa hapa Monduli uanze kufanya kazi".
Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
Posted on: November 23rd, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali ya awamu ya sita imejipanga kuhakikisha ifikapo 2025 miji yote itakuwa na umeme kwa asilimia 100 na baadhi ya maeneo k...
Posted on: November 15th, 2022
Zoezi la kupisha ujenzi wa barabara ya Mianzini hadi Ngaramtoni kwa kubomoa nyumba zote zilizopo ndani ya mita 10 kila upande mwisho wake ni Disemba 26,2022.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa...