Posted on: August 24th, 2022
"Sensa katika Wilaya ya Monduli imesaidia kumuibua mzee wa miaka 120 na sisi kama Wilaya tutajitaidi kuhakikisha wazee kama hawa wanapata mahitaji yao muhimu".
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilay...
Posted on: August 23rd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewahasa wananchi wa Mkoa wa Arusha, kuendelea kutoa ushirikiano kwa makarani wa sensa kama walivyotoa kwa siku ya kwanza.
Ameyasema hayo baada ya kukagua ...
Posted on: August 17th, 2022
"Sensa haina kikwazo cha kiimani, hivyo kila mmoja atoe ushirikiano na kujitokeza kuhesabiwa siku ya Agosti 23."
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella alipokuwa akizungumza na ...