Posted on: February 17th, 2024
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Akson amewataka watanzania, kujifunza kutokana na maisha mema na utumishi uliotukuka aliofanywa na hayati Edward Lowas...
Posted on: February 17th, 2024
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amewataka wananchi kuyaenzi na kuyaendeleza mambo yote mazuri yaliyofanywa na hayati Edward Lowassa katika kipindi chote cha utumishi na maisha yake ya kawaida.
...
Posted on: February 17th, 2024
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi, amesema Edward Ngoyai Lowassa alikuwa ni mtu aliyependa kufanyakazi, alikuwa ni mchapakazi, aliyezitumika nafasi z...