Posted on: July 2nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe.Kenani Laban Kihongosi amefika kwenye ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha na kupokelewa na Katibu wa CCM mkoa huo Komredi Mussa Dadi Matoroka, leo Julai 01, 2025.
...
Posted on: July 2nd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenan Laban Kihongosi @kenanikihongosi amekutana na viongozi wa Dini na viongozi wa mila wa mkoa huo kwa lengo kufahamiana na kupata baraka, dua na maombi kutoka kwa viongo...
Posted on: July 1st, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi amewataka watumishi wa Umma kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano na sio kufanya kazi kwa mashindano, kwa kutambua wote wanajenga nyumba moja, ...