Posted on: October 5th, 2018
Viongozi wa Wilaya wa Mkoa wa Arusha wametakiwa kusimamia kikamilifu zoezi la utoaji dawa za ugonjwa wa vikope (Trakoma) kwenye maeneo yao kwa lengo la kuhakikisha ugonjwa huu unatokomezwa kabisa.
...
Posted on: September 28th, 2018
Viongozi wa mila na desturi nchini wametakiwa kuhakikisha wanadumisha mila na desturi za makabila yao kama wamaasai wanavyoendeleza hasa kwa vijana.
Yamesemwa hayo na Waziri wa Habari,Utamaduni,San...
Posted on: September 21st, 2018
Mkoa wa Arusha kwa mara ya kwanza umeweza kuadhimisha siku ya ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu kwa wazee wenye umri kuanzia miaka 60.
Akitoa taarifa ya maadhimisho hayo yaliambatana na upimaji wa mag...