Posted on: March 14th, 2019
Walipakodi wa Mkoa wa Arusha watakiwa kulipa kodi kwa wakati na kwa hiari ili kupeleka mbele gurudumu la maendeleo ya nchi yetu.
Yamesemwa hayo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwit...
Posted on: March 7th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amewakemia vikali wazazi wote ambao watoto wao wanapata Mimba wakiwa mashuleni kisha familia mbili zinakaa kusuluhisha kindugu kuacha mara moja tabia hi...
Posted on: March 1st, 2019
Wadau watakiwa kushirikiana na Serikali katika kutatua changamoto za kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na watoto katika jamii yetu.
Akifungua kikao cha wadau wa watoto na wanawake wa mkoa wa A...