Posted on: February 1st, 2019
Mkoa wa Arusha utatumia matokea ya mtihani wa Moko kwa kidato cha nne kama ishara ya kufahamu kiwango cha ufaulu kwa mtihani wa Kitaifa na hii itasaidia kufanya maandalizi mapema.
Ameya...
Posted on: January 30th, 2019
Timu iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo kwa kushirikiana na vikosi vya ulinzi na usalama imebaini kuuwawa kwa Twiga 35 kwa kipindi cha miaka miwili katika matukio mbalimbal...
Posted on: January 28th, 2019
Mamlaka ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Tanga imesema inasogeza huduma zake karibu na wateja wake wa Mkoa wa Arusha kwa kujenga bandari kavu maeneo ya King’ori.
Akisoma taarifa ya maendeleo ...