Posted on: July 31st, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Cornel Muro na Mhe. Frank James Mwaisumbe Mkuu wa Wilaya ya Longido wameapishwa rasmi kuwa wakuu wa Wilaya husika Mkoani Arusha.
...
Posted on: July 28th, 2018
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya (MB) amewaagiza mafundi Sanifu kufanya kazi kwa uwaminifu kwa simamia miradi vizuri.
Ameyasema hayo alipofungua kongamano la...
Posted on: July 27th, 2018
Katika hatua nyingine yakuhakikisha upimaji bure wa magonjwa sugu yasiyoambukiza kwa wananchi Mkoani Arusha laendelea katika viwanja vya Gymikhana.
Zoezi hili litaendelea katika siku ya kilel...