Posted on: February 26th, 2021
Wanawake Wilayani Longido wametakiwa kutumia ardhi katika kuzalisha ili walete maendeleo katika familia zao na jamii kwa ujumla.
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe, Iddi Kimanta alipokuwa...
Posted on: February 25th, 2021
Wadudu aina ya Nzige waliokuwa wamevamia pori Wilayani Longido wamedhibitiwa kwa zaidi ya 70%, baada ya kunyunyuziwa dawa ya kuwauwa.
Nzige hao waliovamia pori la Kijiji cha Kimokouwa na Kijiji cha...
Posted on: February 19th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi Hassan Kimanta amemwagiza Afisa Elimu Mkoa bwana Halfan Omari Masukira kumvua madara ya ukuu wa shule mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Irkaswa bwana Arbogastus Mushi na...