Posted on: April 29th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda, ametoa wito kwa waandishi wa habari kubadilika na kuandika habari zenye kujenga jamii badala ya zile zenye kuchochea migogoro au kueneza hofu.
...
Posted on: April 28th, 2025
Flaviana Matata pamoja na marafiki zake Kym Rapier na Glenn Verette kutoka Nchini Marekani wamemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda Ofisini kwake kwaajili ya kujadili fursa mba...
Posted on: April 27th, 2025
Mkoa wa Arusha sasa umewezeshwa kupata umeme wa uhakika baada ya upanuzi wa Kituo cha kupooza na kusafirisha umeme cha Njiro, kwa kuongeza Transfoma yenye uwezo wa MVA 210 kutoka MVA 90 ya hapo awali....