Posted on: July 13th, 2018
Viongozi wa Kata wa halmashauri zote za mkoa wa Arusha watakiwa kutafuta suluhu ya tatizo la mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.
Akitoa maagizo hayo kwa niaba ya mkuu wa Mkoa wa Ar...
Posted on: May 31st, 2018
Waziri wa Mifugo na Uvuvi mheshimiwa Luhanga Mpina, ameiagiza bodi ya maziwa kwa kushirikiana na baraza la kilimo Tanzania kuandaa maonyesho ya kimataifa ya wiki ya maziwa badala kila mwaka kuadhimish...
Posted on: May 29th, 2018
Watanzania watakiwa kuwa na utamaduni wakunywa maziwa kila siku ili kujenga afya za miili yao na kuongeza pato la taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari,Mkuu wa Wilaya ya Arusha Daniel Daqarro k...