Posted on: October 21st, 2022
"Wananchi wanasubiri kupatiwa huduma iliyobora hasa wakinamama na watoto, hivyo jitaidini kukamilisha majengo ya mama na Mtoto haraka ili yaanze kutoa huduma".
Maelekezo hayo yametolewa na Katibu T...
Posted on: October 19th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wakandarasi waliosaini mikataba ya kutengeneza Barabara wakafanye kazi kwa weledi, uzalendo na kuzikamilisha kwa muda uliopangwa.
Ameyasema hayo alipo...
Posted on: October 14th, 2022
Sekta ya elimu Mkoani Arusha inaendelea kuimarika kwa kiasi kikubwa kwa kuwa na taasisi nyigi za elimu kutoka ngazi zote.
Kauli hiyo imesema na Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella alipokuwa akifun...