Posted on: May 24th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ametembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko eneo la Bwawani mtaa wa Magafi wilaya ya Karatu mchana wa leo Mei 24, 2024.
Mhe. Makonda yuko wilayani...
Posted on: May 24th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul C. Makonda ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Hospitali mpya ya wilaya ya Karatu, iliyoko kijiji cha Changarawe Kata ya Daa Tarafa ya Karatu huku tayari imeanza...
Posted on: May 23rd, 2024
Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Mhe. Peter Van Acker, ametembelea miradi ya ushirikiano kwenye Sekta ya kilimo inayofadhiliwa na Serikali ya Ubeligii inayotekelezwa na Shirika lisilo la kiserikali...