Posted on: July 13th, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuacha kuvunja sheria kwa kuvamia maeneo ya hifadhi na badala yake kutunza mazingira hayo.
...
Posted on: July 12th, 2024
Leo Ijumaa Julai 12, 2024 imefanyika Parade kubwa Jijini Arusha yenye kuhusisha Madereva wa pikipiki kutoka Mkoani Arusha wanaotarajiwa kushiriki kwenye Samia Motocross Championship inayofany...
Posted on: July 12th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama Mkoani Arusha kushirikiana kwa pamoja kuzuia na kudhibiti vitendo vya rushwa, utovu wa maadili na uba...